SEMA NA ARTISTS!

Wednesday, September 8, 2010

Interview @ Mlimani TV

Tarehe 4 ya Septemba nilikuwa na TV interview 2, Mlimani TV na Clouds TV ambapo Video yangu mpya ilikuwa ikitambulishwa rasmi...siku 4 baada ya kuachiwa na tayari ikaaanza kupigiwa kura kuingia kwenye maTop 20.









Me and my host showing love after the nice interview.

0 comments:

Website counter