SEMA NA ARTISTS!

Wednesday, September 8, 2010

Clouds TV interview @ Mbalamwezi Beach,DSM,



Kikosi cha Clouds TV kilichokuja kunifanyia interview kuhusiana na video yangu mpya, pembeni DJ Choka naye alikuwepo baada ya kumaliza interview yake.



Niiice background view pale Mbalamwezi ambako interview ilikuwa ikihappen.

0 comments:

Website counter