SEMA NA ARTISTS!

Monday, September 20, 2010

Sprite's Street Slam @ Leaders Club, DSM

Baada ya kutoka kwenye Graduation ya dogo, nikaruka fasta viwanja vya leaders pale ambako nilikuwa na show ya mchana kwenye michuano ya Basketball ambayo washindi 3 walichaguliwa kwenda kucheki na kujifunza Basket ball huko NBA, States.Palikuwa pamechangamka sana na Joe Makini , Mimi, wanaume TMK na Chidi benz tulikuwepo hapo kutoa burudani saaafiii.


Adam Mchomvu ,Joe Makini, Me and Ibra Da Hustla.


The league of Gentlemen.

0 comments:

Website counter