Nane Nane ni sikukuu moja kubwa sana mikoani haswa Mbeya. Hapa jioni nikielekea uwanja wa 8 Nane kupiga show nikakuta umati wa watu ukiingia na kutoka, bahati mbaya kabla hata sijapanda stejini battery ya camera ikakata ringi. Too sad.
Tuesday, August 10, 2010
Posted by CPWAA at 3:01 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment