SEMA NA ARTISTS!

Tuesday, August 10, 2010

At last baada ya masaa 12 barabarani, tumefanikiwa kupata hoteli kwa zali maana mji mzima hoteli zimejaa kutokana na nane nane. Hapo hata sikuoga na baridi lile, straaight under the blanket.
Mbeya Paradise Inn, maeneo ya Soweto ndio tulipobahatika kulaza ubavu.



1 comments:

Lusu said...

safi sana.i hope ulitoa burudani ya kutosha kwa wadau wa kilimo.

Website counter