SEMA NA ARTISTS!

Sunday, March 6, 2011

Naombeni kura zenu ndugu zangu!



I hope weekend yenu imeenda swafi sana. Kwa mara nyingine tena mdogo wenu nimechaguliwa kugombania tuzo za Kilimanjaro Music Award 2011. Malengo yangu ni kuufikisha muziki wa Tanzania kwenye anga za kimataifa na kuleta mapinduzi kwenye soko mletu. Naomba unipe kura yako kwenye category mbili nilizochaguliwa:

Wimbo: ACTION- CPWAA ft Ms. Triniti. Dully Sykes & Mangwear.

Nomination:

Video bora ya mwaka: Tuma neno S 129 Kwenda namba 15747.

Wimbo bora wa ragga/dancehall: Tuma neno L 129 kwenda 15747.

Kila SMS ni TSH 100 tu! au tuma kura zako ( L 129 na S 129) kwa barua pepe kwenda ktma@innovexdc.com

0 comments:

Website counter