Hii ni nyimbo ya pamoja ya washindi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music award mwaka jana ambayo tulirekodi na kuimba pamoja.Kwenye nyimbo kuna Cpwaa, AY. Joh Makini,Chidi Benz,Stara Thomas,Banana Zorro, Diamond, Said Chokoraa,AT, Mrisho Mpoto,Bwana Misosi, Mzee Yusuf na Marlow.
Tuesday, March 29, 2011
CPWAA performing a Kilimanjaro Stars Theme Song with other Artist
Posted by CPWAA at 10:32 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment