SEMA NA ARTISTS!

Monday, September 20, 2010

XXL, Clouds FM interview with Ncha Kali & DJ Fetty



DJ Steve B ( DJ Skillz)




DJ Fetty.




Me and Ncha Kali.



On 17th September 2010, nilikuwa na interview kwenye kipindi cha XXL, Meza moja na Dj Fetty & Ruben ( Ncha Kali). Interview ilukwa bomba sana kwa wale walioisikia, tuliongea issue mabalimbali kuhusu muziki wangu, video yangu mpya, Blogsite na website yangu bila kusahau masuala ya kitaifa kama Uchaguzi ujao.

0 comments:

Website counter