Wakati tukibadilishana mawazo na DJ Choka baada ya interview akatokea mshkaji mmoja hivi akatusalimia, akadai anapenda sana na kufuatilia kazi zetu kisha akaomba tusaini kadi yake kama ukumbusho sababu alikuwa anasherekea siku yake ya kuzaliwa. Nilifarijika sana, zamani Bongo wasanii tulikuwa hatupendwi kiasi hichi. Real fans, thanks to El capitano.
Wednesday, September 8, 2010
Posted by CPWAA at 4:30 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment