SEMA NA ARTISTS!

Thursday, September 23, 2010

Uzinduzi wa Pub ya Aunty Ezekiel, Kinondoni Block 41

Baada wikiendi ndefu ya Jumamosi iliyopita, mitaa ya home pale Block 41 jirani kabisa na home Msanii maarufu wa filamu Tanzania, Aunty Ezekiel alikuwa anafungua rasmi Pub yake mpya kabisa. Basi nikajitio uvivu na kwenda kushow love. Hongera sana Aunty Ezekiel.



Braza Daudi akisababisha masula ya kupop Champagne!







Ikafika zamu yangu na mimi kulishwa keki.




Top In Dar alikuwepo kuwakilisha.

0 comments:

Website counter