SEMA NA ARTISTS!

Wednesday, September 15, 2010

So Pwaa kuachiwa redioni 17 /9/2010



Baada ya Video kuachiwa tarehe 1/9/2010 kwenye TV stations zote Bongo na tayari ikiwa imeingia kwenye Top 20 za ETAV, Clouds TV na Mlimani TV. So Pwaa sasa inatoka maredioni na kwenye kumbi zote za starehe nchini.

0 comments:

Website counter