SEMA NA ARTISTS!

Tuesday, August 10, 2010

Ukumbi na benki ya NBC, japo nimekuta pamechoka kidogo back in the days hapo ilikuwa soo, mtu mzima ndio nilichukuaga ubingwa wa Rap mkoa wa Mbeya 1999.
Centre /Mbeya Flames or Kwa Masister, this where i played BasketBall sana mpaka pale mziki uliponiteka.



1 comments:

Lusu said...

huyo mlinzi hakujui kaka. ina maana hata kazi zako hazithamini, au analinda wale akina dada wa hostel. siku nyingine utapata nafasi ya kuingia i hope, ukutane na akina kiduduye, Hastings, mwalukasa nk. afu pacha wako Kid Power yu wapi jamani?

Website counter