SEMA NA ARTISTS!

Monday, August 16, 2010

Things you didn't know about Cpwaa!

Hapo ni my Caring Father ( Mr.Khalifa) me and my My Lovely God Mother ( Sophia) at IFM ( Institute of Finance Management) 2006 Hapo is when i graduated with degree in IT.

Graduation ya form 4, kipindi mi niko form 3 mwaka 1998. Nikashusha bonge la ngoma inaitwa "Bye bye" na "Pull up your socks"

Maigizo ( Ukimwi na vijana), graduation darasa la 7, Azimio Primary School hapo ukumbi wa mesi Mbeya hospital 1995. put me on the movie now, i still got it, i was born with it.

That's is how it all started! Mwaka 1996 Club Valentino pale Green Belt Hotel,Uhindini Mbeya ilikuwa party yetu ya welcome form 1, hapo nachana ngeli tu CD bado zilikuwa hazijasambaa mwendo wa tape, beat ni za mamtoni.

To see more photos of me since waaaays back in the game visit my facebook profile, make sure upo facebook:

http://www.facebook.com/?ref=home#!/album.php?aid=55459&id=1460884857







2 comments:

Anonymous said...

mwana umenikumbusha kijana wangu tulikuwa tukicheza kikapu pale kwa mensah centre ulikuwa ukipiga machata ya crazy power...nakuchana ngeli kila baada ya session mwana umetoka mbali u deserve for wat u have mpaka sasa...

Martha said...

Umenikumbusha mbali sana aisee cp big up, umenikumbusha matc mbeya ndo ukumbi wa graduation za azimio. Yule jamaa yako alikuwa anajiita kid power Nolasco yupo wapi? Nakumbuka Graduation ya mbele ya mwakasala Lofa wewe unakumbuka? Martha

Website counter