SEMA NA ARTISTS!

Tuesday, August 10, 2010

Cpwaa ndani ya Nane Nane Mbeya under courtesy of Zain

Asubuhi nikaamkia uwanja wa nane nane kucheki mpango mzima kwa ajili ya show ya baadae. kwenye eneo la Zain ndio ntafanya makamuzi maana wao ndio walinileta Mbeya kwa shughuli hii.

Hapo nilikutana na mdau wa kupiga picha, " Jose" huyu jamaa hakuna mtu asiyemjua Mbeya. Toka nasoma Mbeya day form 1 jamaa ndio alikuwa akitupiga picha mpaka leo anaendeleza libeneke. Mbishi.
Stage nitakayoitumia ikiwa kwenye initial preparation.





2 comments:

Martharita said...

Jamani Cp namkumbuka Jose duh jamaa bado anaendeleza libeneke?? Nakumbuka katupiga picha mbeya day, jamaa kweli mbishi

Lusu said...

hahahaa. ni kweli jamaa alikuwa paparazzi wetu pale Mbeya Sec. na ajabu, habadiliki. safi sana Jose

Website counter