SEMA NA ARTISTS!

Wednesday, July 28, 2010

Hii ndio stage iliyotumika pale uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Wasanii tuliokamua tulikuwa Marlow, Fid Q, Mwana FA, Mwasiti, Joh Makini, Cpwaa, Barnaba and Amin, THT, TOT Band, Bushoke, Temba, Chege, Dully Sykes, Tip Top connection and Wanaume TMK.

0 comments:

Website counter